Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), wamewakamata washukiwa watatu wa uhalifu katika eneo la Laare, kaunti ya Meru. Kwenye operesheni hiyo iliyotekelezwa baada ya maafisa hao kupashwa habari…