Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa polisi, wamewakamata washukiwa wanne wanaoaminika kushiriki biashara haramu ya mihadarati, kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta. Kwenye msako wa pamoja uliotekelezwa na asasi mbali mbali…