Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Katibu Mkuu wa Muungano wa Vyama vya Wafayakazi nchini Kenya Francis Atwoli, ametoa wito kwa wanasiasa kusitisha kampeni za mapema na badala yake kuwahudumia wakenya. Akizungumza leo Ijumaa wakati wa…