Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Naibu Rais Prof. Kithure Kindiki amesema uhusiano ulioimarika kati ya Kenya na China, umefanikisha bidhaa za Kenya kuingia katika soko la China bila kutozwa ushuru. Kindiki alidokeza kuwa Kahawa, Majani…