Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Timu ya taifa Harambee Stars imeimarisha mazoezi leo Jumatatu katika uwanja wa Police Sacco kujiandaa kwa mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia mwaka 2026 dhidi ya Burundi. Kenya itachuana…