Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kujiondoa kwa Sawe kunawaacha bingwa wa Dunia Gabriel Geay kutoka Tanzania, Guye Adola na Gateneh Molah wa Ethiopia pamoja na Wakenya Rochard Yator na Erick Sang miongoni mwa washiriki wengine.