Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Biashara nyingi ziliendelea kuhisi athari ya mgomo wa matatu unaoendelea nchini kulalamikia ongezeko la bei ya mafuta. Jijini Nairobi sawia na maeneo mengine, wahudumu wa biashara zikiwemo supamaketi, walikadiria hasara…