Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Jeshi la Ulinzi (IDF), la Israel limesema kuwa wanajeshi wake wanne wameuawa kusini mwa Lebanon, ambako majeshi yake yanakabiliana na wapiganaji wa Hezbollah. Jeshi la Israel lilianzisha mashambulizi ya nchi…