Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali ya Senegal imeamua kusimamisha safari za nje ambazo si za lazima kwa mawaziri na maafisa waandamizi, ikionya kuwa kipindi kijacho kitakuwa kigumu kiuchumi. Hatua hiyo imechochewa na mvutano unaoendelea…