Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, umewafurusha baadhi ya viongozi wake, kwa madai kwamba wameteuliwa serikalini au wanashirikiana na vyama au miungano hasimu ya kisiasa. Ktaarifa siku ya Jumatatu,…