Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Monica Kathina Juma, ambaye ni Mshauri wa Taifa wa maswala ya Usalama, ameteuliwa kwenye nyadhifa mbili Kuu katika Umoja wa Mataifa. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres, alimteua…