Matukio ya Taifa: Ukosefu wa umakini unachangia idadi kubwa ya ajali barabarani

Watumizi wa barabara wametakiwa kuchukua jukumu la kuhakikisha usalama barabarani unadumishwa msimu huu wa Disemba, huku ikibainika kwamba ajali nyingi za barabara husababishwa na watumizi wa barabara kukosa kumakinika. https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/7991462c-e5ae-4dd6-8d20-96afa05b0921

Impressive Mobile First Website Builder

Ready for Core Web Vitals, Support for Elementor, With 1000+ Options Allows to Create Any Imaginable Website. It is the Perfect Choice for Professional Publishers.