Sherehe za Madaraka: Picha

Tom Mathinji
1 Min Read
Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi (KDF) Jenerali Charles Kahariri, awasili katika uwanja wa michezo wa Wajir kwa sherehe za Madaraka.
Msemaji wa Serikali Isaac Mwaura, awasili katika uwanja wa michezo wa Wajir kwa sherehe za Madaraka.
Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli, awasili kwa sherehe za Madaraka.
Wananchi wawasili katika uwanja wa michezo wa Wajir.

Share This Article