MAKALA YA TATU YA MAONYESHO YA UTALII NA UTAMADUNI YA AFRIKA MASHARIKI YATAANDALIWA JIJINI NAIROBI KATIKA UKUMBI WA MIKUTANOI WA KICC. MAKALA HAYA YANAYOANDALIWA NA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI YANALENGA KULETA PAMOJA MATAIFA WANACHAMA WA JUMUIA HIYO KUONYESHA BIDHAA NA UTAMADUNI WA MATAIFA HAYO.
https://art19.com/shows/taarifa/episodes/0729f7c2-de7b-423c-ab6b-23e6b40e949b