Rais Yoweri Museveni wa Uganda jana jioni ametangaza Baraza jipya,akiwadumisha wachache kutoka kwa serikali wakati wengine wakitumiliwa.
Jessicah Alupo, alisalia kuwa Makamu Rais, sawia na Robinah Nabbanja ambaye ataendelea kuhudumu kama Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu mkongwe wa Fedha Matia Kasaija, alipigwa teke katika mojawapo ya mabadiliko makubwa ya Mawaziri.
Mawaziri wapya ni pamoja na bwanyenye Jonard Asiimwe,Robert Migadde,Lawrence Muganga na Susan Nzambu.