Mtandao wa KUCCPS wafunguliwa kwa kozi za TVET

Dismas Otuke
0 Min Read

Mtandao wa kutuma maombi kwa kozi za masomo ya vyuo humu nchini (KUCCPS), umefunguliwa tena.

Katika kipindi cha mwezi mmoja ujao wanafunzi wanaotaka kujiunga na vyuo vya masomo ya kiufundi- TVET, watachagua kozi zao.

Wanafunzi wanaohitajika kutuma maombi ni wale waliokalia mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne- KCSE, mwaka 2025.

Share This Article