Misukosuko yazidi huku ligi kuu ya Kenya iliyokuwa ianze leo ikiahirishwa

Hata hivyo yamkini ligi hiyo haitanza baada ya vlabu kukosa kuafikiana kuhusu siku ya kuanza kwake

Dismas Otuke
1 Min Read

Hali ya Suitafahamu inazidi kughubika kung’oa nanga kwa msimu mpya wa Ligi Kuu ya Kenya msimu wa mwaka  2026/2027 .

Mismu huo uliratibiwa kuanza leo baada ya Mahakama Kuu ya Meru kuruhusu Ijumaa iliyopita  kuanza kwa Ligi hali iliyolazimu shirikisho kupanga upya mechi za mzunguko wa kwanza zilizokuwa zichezwe Jumamosi na Jumapili zikiratibiwa kuchezwa kati ya leo na Jumatano.

Hata hivyo yamkini ligi hiyo haitanza baada ya vlabu kukosa kuafikiana kuhusu siku ya kuanza kwake

Share This Article