Matukio ya Taifa: Wafungwa waomba mahakama msamaha baada ya kurekebika, Tambach

radiotaifa
0 Min Read

KATIKA MAKALA YA MATUKIO YA TAIFA HII LEO….

1. RAIS WAILLIAM RUTO AWAHAKIKISHIA WABUNGE KUPEWA FEDHA ZA HAZINA YA KITAIFA YA USTAWISHAJI MAENEO BUNGE IFIKAPO JANUARI

 2. WAFUNGWA KATIKA GEREZA LA TAMBACH WATAKA MAHAKAMA KUWAPA MSAMAHA BAADA YA KUREKEBIKA

 3. WALIMU WA SHULE ZA MSINGI SEKONDARI WANEDELEA KUSHINIKIZA KUAJIRIWA KWA KANDARASI ZA KUDUMU.

https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/593507e7-cbea-4c62-897d-1276900893bd

TAGGED:
Share This Article