Matukio ya Taifa: Serikali imejipanga kukabili athari za mafuriko, asema Gachagua

radiotaifa
0 Min Read

Serikali kuu imeanza zoezi la kukusanya data kuhusu athari za mvua kubwa inayoendelea kuathiri maeneo mengi nchini.

Naibu rais Rigathi Gachagua amesema ripoti hiyo itawekwa wazi baada ya kukamilika kwa shughuli hiyo, ambayo habari kuhusu waliosombwa na mafuriko, mifugo na mimea iliyoathirika itajumuishwa kwenye ripoti hiyo.

https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/c7a9ead9-230d-4dc3-85ce-d0e2e4efc984

Share This Article