Marekani imetoa ilani ya saa 48 kwa Iran, kusitisha vita na kusaini mwafaka wa kusitisha vota la sivyo ishambuliwe vilivyo.
Rais Donald Trump amesema kuwa muda unayoyoma kwa Iran kusalimu amri la sivyo ataikabili vikali.
Wakati uo huo Marekani imesema inaednelea kumtafuta rubani wa ndege kivita aina ya jet iliyotunguliwa jana nchini Iran.