Marekani kufungua Kombe la Dunia Jumamosi Alfajiri

Dismas Otuke
1 Min Read

Waandalizi wenza wa fainali za Kombe la Dunia Marekani watashuka katika uchanjaa  wa Los Angeles dhidi ya Paraguay, kwa mechi ya kufungua ratiba ya kundi D  katika siku ya tatu  .

Timu zote mbili hazijawahinyakua kombe hilo na zitalenga kuanza vyema ili kuwa na fursa ya kufuzu kwa raundi ya 32 bora.

Sawia na waandalizi wengine ;Mexico na Canada pia Marekani, itaandaa sherehe za ufunguzi kabla ya mechi dhidi ya Paraguay.

Ni mara ya kwanza kwa Marekani kuandaa Kombe la Dunia tangu mwaka 1994.

Share This Article