Katika kuadhimisha siku ya wakunga duniani, Mwanahabari wetu Francis Ngala amefanya mahojiano na Lilian Nkirote ambaye ni mkunga mtaalamu katika hospitali ya kuzalisha ya Jacaranda, Kulingana na Lilian moja ya furaha yake kubwa kama Mkunga ni kuona maisha na afya ya mama na mtoto imelindwa hasa wakati wa kujifungua. Sikiliza mahojiano.
https://art19.com/shows/daktari-wa-radio/episodes/92eb3da0-483f-4d7b-9188-bdea60b5f590
I am Versatile Multimedia Journalist with years of experience in Digital platforms, Live TV and Radio. In another world am a News Anchor and Reporter.