Kocha wa Haiti,Sebastien Migne ajiuzulu

Haiti maarufu kama Les Grenadiers walipoteza mechi zote za kundi C, dhidi ya Scotland,Brazil na Morocco, waliposhiriki Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza mwaka huu .

Dismas Otuke
0 Min Read

Kocha wa timu ya taifa ya Haiti, Sebastien Migne,ametangaza kujiuzulu wiki tatu pekee, baada ya timu yake kubanduliwa kwenye fainali za Kombe la Dunia.

Haiti maarufu kama Les Grenadiers, walipoteza mechi zote za kundi C, dhidi ya Scotland,Brazil na Morocco, waliposhiriki Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza mwaka huu .

Migne alikuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya soka ya Kenya,Harambee Stars.

Share This Article