Kiongozi wa upinzani Zimbabwe ajiuzulu chamani

Dismas Otuke
0 Min Read

Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe Nelson Chamisa ametangaza kujiuzulu kutoka kwa chama chale cha CCC, akidai hujuma za serikali.

Chamisa alitangaza uamuzi huo siku ya Alhamisi akisema kuwa chama hicho hakiweziendeleza ajenda yake ipasavyo baaada ya kutekwa nyara na Rais Emersob Mnangangwa cha Zanu PF.

Share This Article