Jumba lililoporomoka mtaani Eastleigh lilisajiliwa mwaka 2025,yasema NCA

Mamlaka ya ujenzi nchini (NCA) imethibitisha kuwa jumba la orofa 18 lililokuwa likijengwa mtaani Eastleigh kaunti ya Nairobi siku ya Ijumaa lilikuwa limesajiliwa Julai mwaka 2025.

Dismas Otuke
1 Min Read

Mamlaka ya ujenzi nchini (NCA) imethibitisha kuwa jumba la orofa 18 lililokuwa likijengwa mtaani Eastleigh kaunti ya Nairobi siku ya Ijumaa lilikuwa limesajiliwa Julai mwaka 2025.

Taarifa ya NCA ilithibitisha jana kuwa jengo hilo lilisajiliwa Julai 23 mwaka uliopita kulingana na takwimu.

Katika hali ya kutatinisha Gavana wa Nairobi,Jonstone Sakaja, aliyezuru eneo la mkasa Ijumaa alisema mkandarasi hakufuata utaratibu ufaao.

NCAA iliahidi kutoa taarifa zaidi kuhusu jengo hilo lililoporomoka siku ya Jumamosi.

Shirika la msaba mwekundu lilitoa taarifa jana jioni likisema kuwa watu wawili waliotolewa kwenye vifusi hivyo na wanapokea majina.

Share This Article