Danny Jordaan ameshinda muhula wa nne kuongoza shirikisho la kandanda nchini Afrika Kusini (SAFA) katika uchuguzi ulioandaliwa Jumamosi.
Jordaan alipata kura 157 dhidi ya 82 za mpinzani wa karibu Sandile Zungu.
Jordaan alipata ushindi kufuatia kuondolewa kwa maeneo 52 ya Zungu ambaye ni Mfyanyabiashara.
Jordan aliye na umri wa miaka 75 ameongoza SAFA tangu mwaka 2013.