Familia ya Raila yatangaza mpangilio wa Ukumbusho wake

Dismas Otuke
0 Min Read

Familia ya aliyekuwa Waziri Mkuu marehemu Raila Odinga imebuni kamati ya kuongoza ukumbusho wa mwaka mmoja tangu kifo chake.

Katika tangazo kwa umma familia ya Raila imesema inatoa fursa kwa Wakenya wote kutoa heshima zao na kumkumbuka.

Kamati hiyo itaongozwa na Profesa Adams Oloo, na itaanza kufanya vikao vya maandaliazi Jumanne Septemba 15.

 

Share This Article