Charles Kibet ateuliwa Meneja Mkurugenzi wa KENGEN

Dismas Otuke
1 Min Read

Charles Ronoh Kibet ameteuliwa Meneja Mkurugenzi wa kamouni ya KenGen, kuchukua nafasi ya Mhandisi Peter Waweru ambaye atastaafu mapema mwaka ujao.

Kibet ana tajriba ya zaidi ya miaka 17 katika utaalam wa maendeleo na matumizi ya kawi ya mvuke na pia sekta za kibiashara akiwa katika kamouni hiyo.

Kibet atatwaa uongozi wa kampuni hiyo Februari mosi mwaka ujao baada ya kupita usaili .

Chini ya uongozi wa Njenga KenGen ilinakili faida ya shilingi bilioni 10.48, katika kipindi cha fedha cha mwaka 2025.

Share This Article