Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai DCI, wamemkamata mshukiwa wa ulaghai wa ardhi anayedaiwa kupokea shilingi 900,000 kwa njia ya udanganyifu. Mshukiwa huyo Andrew Gachagua Njui, alikamatwa baada ya…