Mshambulizi wa Ureno Christiano alitangaza kustaafu rasmi soka ya kimataifa baada ya kucheza mechi 234 na kupachika magoli 146.
Ronaldo aliye na umri wa miaka 41 anatarajiwa kuiaga rasmi Ureno mwezi huu huku shirikisho la soka nchini Ureno likipanga mechi ya kumuaga.
Ronaldo atakabidhi rasmi jezi nambari saba ambayo amekuwa akivalia baada mechi hiyo ya kimataifa ya kumuaga.
Mshambulizi huyo anajivunia kuingoza Ureno kunyakua mataji mawili ya kombe la Euro mwaka 2016 na 2019 na Ligi ya mataifa ya Ulaya mwaka 2025.