Bilionea wa Nigeria Aliko Dangote, ameripotiwa kununua asilimia 25 ya hisa za kampuni ya Kenya Pipeline Company(KPC) kwa kima cha dola miliomni 327 za Kimarekani sawia na shilingi bilioni 42 za Kenya kulinagana na shirika la habari la Reuters.
Ni mwezi uliopita ambapo Dangote aliweka jiwe la msingi la kiwanda cha kusafisha mafuta cha dola bilioni 16 katika bandari ya Lamu .
Kiwanda hicho kitakuwa na uwaezo wa kusafisha bareli laki saba za mafuta kwa siku punde kitakapokamilika.