Kundi la Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) nchini Iran limekiri kulipua meli moja ya wanajeshi wa Marekani ambayo haikuwa na silaha katika mlango wa bahari wa Hormuz.
Kituo cha shirika la Uingereza la wanabiashara wa baharini limethibitisha kuwa limepokea taarifa kuhusu makombora yaliyolipua meli moja katika bahari ya Oman.
Kundi la Houthi nchini Yemen pia limetangaza kukamata meli nyingine katika bahari ya shamu mjini Mocha .