Hali ya Suitafahamu inazidi kughubika kung’oa nanga kwa msimu mpya wa Ligi Kuu ya Kenya msimu wa mwaka 2026/2027 .
Mismu huo uliratibiwa kuanza leo baada ya Mahakama Kuu ya Meru kuruhusu Ijumaa iliyopita kuanza kwa Ligi hali iliyolazimu shirikisho kupanga upya mechi za mzunguko wa kwanza zilizokuwa zichezwe Jumamosi na Jumapili zikiratibiwa kuchezwa kati ya leo na Jumatano.
Hata hivyo yamkini ligi hiyo haitanza baada ya vlabu kukosa kuafikiana kuhusu siku ya kuanza kwake