Rais wa Marekani Donald Trump ameliagiza jeshi lake la majini kufunga na kuzuia kuingia au kutoka kwa meli katika eneo la Hormuz nchini Iran, baada ya kutubuka kwa mazungumzo.
Haya yanajiri baada ya Spika wa bunge la Iran Mohammad Baqer Ghalibaf kuilamu Marekani, kwa kuchangia kutibuka kwa mazungumzo hayo ya kusitisha mapigano nchini Pakistan .
Makamu Rais wa Marekani JD Vance amesema mazungumzo hayo yalikwama bila maafikiano .