Matukio ya Taifa: Serikali yatakiwa kubuni ajira kwa vijana kukabili dawa za kulevya

radiotaifa
0 Min Read

Serikali imetakiwa kuongeza juhudi za kubuni nafasi za ajira miongoni mwa vijana kama hatua ya kukabili athari za matumizi ya dawa za kulevya katika maeneo mbalimbali nchini.

https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/d03a9770-c2f6-4e41-8c9d-e5c688ca5950

Share This Article