Eritrea imejiiondoa kwa mechi za makundi kufuzu kwa fainali za kombe la dunia mwaka 2026 ,siku kadhaa kabla ya kaunza kwa michuano hiyo.
Eritrea walipaswa kusafiri kwenda Morocco kwa mechi ya kwanza ya kundi E,kufuzu Nove,ba 16 dhidi ya Atlas Lions.
Kundi hilo sasa linasalia na Morocco,Zambia, Congo, Tanzania na Niger.