Vidosho wa Kenya wafuzu kwa michezo ya dunia ya ufukweni

Dismas Otuke
0 Min Read

Timu ya wanawake ya soka ya ufukweni ya Kenya imefuzu kwa michezo ya dunia mjini Bali ,Indonesia baada ya kupewa ushindi wa ubwete dhidi ya Cape Verde katika mashindano ya Afrika yanayoendelea huko Hammamet,nchini Tunisia.

Kocha mkuu Fathimi Hamisi amesema wanafurahia kufuzu huku wakipanga kuanza kujiandaa kwa mashindano hayo ya kuanzia Agosti 12 mwaka huu.

Website |  + posts
Share This Article