Uhuru Kenyatta asherehekea miaka 64 ya kuzaliwa

Dismas Otuke
0 Min Read

Rais mstaafu Uhuru Kenyatta ameadhimisha miaka 64 ya kuzaliwa kwake.

Hafla ya kusherehekea kuzaliwa kwake imeandaliwa nyumbani kwake na kuhudhuriwa na familia yake.

Kenyatta amekata keki kuadhimisha siku hiyo.

Kenyatta ni Rais wa nne wa Kenya na mwanawe Rais wa kwanza wa Kenya hayati Mzee Jomo Kenyatta.

Website |  + posts
Share This Article