Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Watu zaidi ya 700,000 wameandikishwa katika zoezi linaloendelea la usajili wa watu wanaonufaika na Mpango wa Inua Jamii. Zoezi hilo ambalo limeingia wiki ya pili linaendeshwa na Wizara ya Leba…