Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Idara ya Upelelezi wa Jinai, DCI imeapa kuwakamata watu wote waliohusika katika visa vya uporaji wakati wa maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha 2024 wiki jana. Idara hiyo imechapisha picha…