Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kundi la kwanza la raia wa kigeni leo Ijumaa liliwasili nchini bila hitaji la viza. Lilakiwa na Katibu katika Idara ya Uhamiaji Prof. Julius Bitok punde baada ya kuwasili katika…