Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Utata ambao umezingira uongozi wa Chuo Kikuu cha Nairobi kwa muda sasa unatazamiwa kufikia kikomo baada ya Mhandisi Prof. Ayub Gitau kutawazwa kuwa Makamu Chansela mpya wa chuo hicho. Yeye…