Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Watu wengi waliandamana kwa mara nyingine kwenye barabara za jiji kuu la Uingereza London, wakitaka Israel isitishe mashambulizi yake katika ukanda wa Gaza. Waandamanaji hao waliinyoshea serikali yao kidole cha…