Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Shirika la Fedha Duniani, IMF sasa linasema azima yake kuu ni kuisaidia Kenya kuzipiga dafrau changamoto ngumu za kiuchumi inazokabiliana nazo. Kadhalika, linasema linakusudia kuboresha uwezo wa kiuchumi wa taifa…