Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kenya na Japani zimetia saini mkataba wa kifedha wa shilingi bilioni 22.1 unaolenga kuchochea ukuaji wa sekta ya utengenezaji wa magari nchini Kenya. Mpango huo utatekelezwa na kampuni ya Japani…