Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kamati andalizi ya mazishi ya muunda maudhui mitandaoni Tabitha Gatwiri pamoja na falimia yake wametangaza kwamba hafla ya kumuenzi itaandaliwa jioni ya leo. Hafla hiyo iliratibiwa kuanza saa tisa jioni…