Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amemshauri Rais William Ruto kufutilia mbali Mamlaka ya Afya ya Jamii, SHA ambayo imejukumiwa kusimamia bima mpya ya matibabu ya SHIF kwa kukosa…