Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Miili minne imeopolewa kutoka kwenye jengo lililoporomoka katika mtaa wa Shauri Moyo, kaunti ndogo ya Kamukunji jana Jumatatu. Afisa anayesimamia shughuli za uokoaji Dkt. Duncan Ochieng' alisema miili hiyo ilikuwa…