Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali kwa mara nyingine imetoa wito kwa Wakenya walioko nchini Lebanon kujisajili ili kusaidia katika uhamishaji wao haraka iwezekanavyo. Wito huo unakuja wakati Israel ikiendelea kutekeleza mashambulizi makali nchini humo…