Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri Mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi, ametangaza kuwa raia wa Kenya hawatajumuishwa katika Vikosi vya Ulinzi vya Russia, kufuatia makubaliano yaliyofanywa Jijini Moscow Jumatatu. Mudavadi aliyepia Waziri wa Mambo ya…